Saturday 8 June 2013

Picha za matukio ya mapokezi na mazishi ya Albert Mangwea - mkoani Morogoro

Hii ndiyo nyumba ya milele ya Albert Mangwea, katika 
makaburi ya Kihonda mkoani Morogoro, pembeni ya
 kaburi alilozikwa marehem baba yaje mzazi.
wakazi wa Moro waliojitokeza nakukusanyika kumlaza
 Ngwea ndani ya nyumba yake ya milele
M2TheP hakukubali kutomuaga mshikaji wake wa karibu,
 Albert Mangwea, na kuamua kuja katika viwanja vya 
Jamhuri mkoani Morogoro kum uaga mshkaji wake
Wakazi wa Morogoro wakiwa katika foleni kumuaga 
marehem Albert Mangwea mchana wa leo 
katika uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro
Foleni ya watu wakiingia uwanjani hapo

HAYA NI MATUKIO YA JANA KATIKA KUUPOKEA MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA UKITOKEA JIJINI DAR ES SALAAM

Gari zilizobeba baadhi ya waandishi na wasanii
Afande Sele alikuwepo pia
Gari aliyokuwepo P-Funk

No comments: