Wednesday 20 August 2014

Poison ft Stamina - Nipe nafasi

Artist - Poison ft Stamina
Song- Nipe Nafasi
Producer - Vennt skillz @kwanza records
Ni mtoto wa miaka 14, anaishi katika mazingira magumu sana. Tumejitolea kumsaidia  kutokana na uwezo alionao na kipaji husika. sasa ukiwa kama mdau wa muziki tunaomba umsaidie kijana huyu. Mazingira anayoishi ni magumu sana tumkombe kwa kipaji chake.
Contact: 0717519652
               0719926957
               0653361070

No comments: