Monday 8 September 2014

R.I.P SEMBUCHE

R.I.P Stephano Sembuche "Sembuche"

Usiku wa jana (tarehe 08) Team_Kibongbongo tumepokea taarifa za kusikitisha kutoka kwa baadhi ya wadau wetu kuwa mmoja wa wadau wetu "Sembuche" aliyekuwa muimbaji maarufu wa band mkoani Morogoro, amefariki.

Sembuche aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya kujikunja kwa utumbo uliopelekea kukatwa takribani mara nne pasipo kuleta matumaini yoyote na kuamuliwa kupelekwa hospitali ya Taifa ya Muhimbili mbaka hapo umauti ulipomfika.

Pole sana kwa wadau wamuziki wa Band hususani wakazi wa Morogoro kwani mtaikosa radha ya sauti ya Sembuche ...

Bwana ametoa na bwana ametwaha..."R.I.P SEMBUCHE"

No comments: