GALLERY


November 08, 2014
GRADUATION CEREMONY -TRACE
Hongera sana mdogo wangu Trace Chonya kwa kuweza kupata Degree yako ya kwanza...Hakika Mungu mkubwa na atakuongoza katika lile ulipangalo!!





October 18, 2014
FIESTA-2014 @DAR


September 07,2014
HAPPY B'DAY UNCLE DERICK



August 31,2014
HONGERENI WADOGO ZANGU KWA KOMUNIO
Ni miongoni mwa siku tulizoweza kufurahi na baadhi ya ndugu zangu walioweza kufika kwenye sherehe hiyo ya madogo waliopata ekaristi @St. Monica - Morogoro



August 07,2014
BIRTHDAY PARTY
Nilikoga mabeseni na bia kadhaa


June 27,2014
SOMEWHERE @MORO



MAY 16-31,2014
@MAISHA CLUB-MORO"IN KITENGE"


May 04, 2014
@SAMAKI SAMAKI-BIMA, MORO


April 11, 2014
 @NEW MAISHA CLUB MORO


April 05, 2014
MAFIKIZOLO SHOW@MLIMANI CITY-DSM
Show ilikuwa poa sana, vijana wa kwa madiba waliweza kukonga nyoyo zetu vile ipasavyo... kwa kweli tumeona utofauti wa show za kibongo na za wenzetu "wasouth" wanajua wanachokifanya aisee!! 

April 03, 2014
WEEK'END PARTY  


March 23, 2014
HOUSE PARTY-KEREWA TOUR

Ilikuwa ni moja ya house-party ambazo nimewahi kuzifurahia...tulipata ugeni toka kwa Team Shetta, yaan Shetta a.k.a Baba Qaillah alitutembelea akiwa na team yake akiwa kwenye ziara ya kuutamburisha wimbo wake wa "Kerewa" mkoani Morogoro, hivyo aliweza kupata kujumuika nasi na kuweza kupiga story kadhaa za hapa na pale huku tukipata drinks..


Jan 29, 2014

YONA'S BIRTHDAY @ BUSH BAR

Tulifurahi kwa kuwa karibu sana na rafiki yetu , jamaa yetu, ndugu yetu bwana Yona Mkasanga katika kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa, hivyo basi tulijumuika na kufanya party hiyo kwa kucheza na kunywa na kula keki kwa upendo kabisa, na yeye natumaini amefurahi sana kwani ni moja ya tukio ambalo atalikumbuka siku za usoni. 
Dec 06, 2013

ADAM MKULO'GRADUATION CELEMONY

 Ilikuwa ni bonge la House Party....tulikula, kunywa na kuenjoy vya kutosha...salute Mr. Mkulo

Nov 16, 2013

PENDO'S B'DAY@SAMAKISAMAKI-BIMA

 
Nov 22-24, 2013

WEEK'END'S BATA@SAMAKISAMAKI-BIMA


Sept 07, 2013
DERICK'S BIRTHDAY@DSM
Ni house-party nzuri ambayo tulienjoy kwa kweli, nikiwa na baadhi ya ndugu zangu....hongera sana sister kwa gud boy uliyenae, Mungu akusimamie katika malezi bora

July 31, 2013
GADNA'S BIRTHDAY


July 20, 2013
WEEK'END PARTY @ NASHERA HOTEL


June 11, 2013
WEEK'END PARTY @ BUSH BAR


Nov, 23, 2012
GRADUATION CEREMONY
After party
NAPENDA KUMSHUKURU MUNGU KWA HATUA HII ILIYO NA MAMBO MENGI KATIKA KIPINDI CHOTE...PIA SHUKRANI KWA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI WOOOTE WALIOKUWA KARIBU KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MAISHA YA SHULE NA MAISHA YANGU YA KILA SIKU


MAY 06, 2012
INVESTORS 3rd YEAR GOODBYE PARTY
 MISS NEHEMA
 MR. MZIRAI
 MR. MENGE, THOBIAS
 MR. EMMANUEL
 MISS RABIA
 MR. PETER
 MR. MUHIMU
 MR. MILULU, AHAMAD
DIKU a.k.a MDANANDA
MAXIMILLIAN
ABELA & CLIFF
DR. TIMOTH
MADAM MJEGELE

DR. TIMOTH & MADAM MJEGELE
(WAKIYARUDI)
MR. MUSHI, VENACE
MR. SANGIWA, FARAJA
MR. MUSSA a.k.a BYSER/SHARO
 hahahah! KIYAKAZI umetisha mzee
 MR. RWIZA Kama kawa
 Dadaa OLGA in the Building
 AAH! DR. CHENI HUYOOOO
 Mamaa SABY in THE Building
 WAPI MZEE DAUD
 WAKUU WA KAMATI
MR. KIDAI & MR. ISRAEL
 Mmmmmmmmmmh!!
 CHAMICHA ZE PHOTOGRAPHER
 WAPI MR. MATEI
TWENDE SASA....
 WAPI MADADA SHOSTI
 hii ndio ili'make headline pale
Dr. Timoth alipochuana na Mzee Daudi
kwenye kusakata TWIST na KWAITO
 Eeeh! Kumbe jamaa sio uwekezaji tuu
pia anashika MIC LUCKY a.k.a LUCKY
WA FINANCE akipewa umateumate na
mzee wa umateumate 'CLIFF'
 Mr. Chen akitoa machache kwa niaba
ya wanafunzi wa Finance 3rd year
 Mr. Namwata akitoa machache
 MADAME MJEGERE pia akitoa machache
MR. MATEI nae akitoa machache
 Baga booooy
 wapi ustaaaadhi Haji
 mmmmmmmmmmmmh
 ESTER CR. Nae in da building
 Lacky wa finance
 MAX aki'wacko jacko pale kati
 MISS MARIAM
 wapi Mazugu
 Black men with Green Bottle
Bata boyz in da house
 C.E.O in Da Building
 Hii!
 C.E.O niki'show luv
 Mmmmmmmh!
 WAPI CCM
 MAXIMILLIAN Mr. Mipango(2009),
Mr. Higher learning(2010)
akifungua shampain
 Nichumu nikis Mmwaaah!
 Single boy pale kati
 Kitu cha Nai Nai

twende kiduku kiduku
lile suala zima ndio hilooooo
mmmh hii meza iliongoza kwa kugonga menu
 umeona eeeeh!!
 mmmmh MR. & MRS. ANNO nao kama kawa
 MZEE WA DFP akiingia kwa sherehe
 mambo ya pwani kidogo
mzee wa DFP akitazama kwa umakini

 SHOW LUV TO EACH OTHER

 TUKIMSIKILIZA DR, KWA UMAKINI
 DR. AKIWAHUSIA VIJANA WAKE
 PICHA YA PAMOJA
FULL MIZUKA
BURUDANI YA MWISHO TOKA KWA 
LUCKY WA FINANCE....NA 
THE END
 
DECEMBER 3I, 2011 TO JANUARY 01, 2012
NEW YEAR CELEBRATION
 Just dancing for step
 mduala takin' over
 Kwaito taking over
 Mduala again
 Am dancing Hakunaga-Suma lee
New year morning @ the kitchen
 Swagga is on
 show lv
 In the 1&2
 @ the kitchen again
 some bites
Food was taken over!!
Kwaito again..

NOVEMBER 25, 2011
GRADUATION CEREMONY @ SOMEWHERE
 
Menu time
 
Kitu cha kuku pale kati


NOVEMBER 12, 2011
STRE8 MUSIC INTER COLLEGE FESTIVAL - DODOMA
 We just taken chicken...raaaaaaaaaaaaaa
Hallah......