Monday 16 September 2013

Dj Fetty auanika mjengo wake mtandaoni

Leo kupitia mtandao wa instagram, Fatuma al-maarufu kama Dj Fetty ameuweka hadharani mjengo unaosadikika kuwa ni wake ukiwa katika hatua za ujenzi (bado unaendelea kujengwa)...post hiyo imetuacha wengi bila ya majibu zaidi ya kuweza kuotea/kufikiri kama waweza kuwa ni mali yake kufuatia status aliyoiandikia..

# Kama ni mali yake basi big up mtu mzima Fetty kwani ni moja ya hatua kubwa sana katika maisha

8 comments:

Anonymous said...

Hongera cn dj FETTY

Anonymous said...

Miaka Elf 8 ...! Promo za Matangazo hazjeng Bali zinasaidia kupangisha na Kubadilisha Magar ya Bei Rahc..! Please wait...

Unknown said...

HUO SASA UBISHI,,WE WAJUAJE MOVEMENT ZKE INGINE ZA KU-MAKE MONEY UENDA ANA MFADHILI

Anonymous said...

Je wakina shemeji? (ma-mbuzi) hayawezi kumuhonga

Anonymous said...

Najua unaweza na wanaweza..ila mapema sana kujishoo shoo na kushoo shoo while unasifa ya kutoweka mambo yako hadharan hili imekuwaje umeliweka ? Heshimu kanuni zako muda ukifika tutajua hata usipoweka hadharan wapo wanaofuatilia maisha na shughuli za watu watazirusha tuuu..kwa hili umekuwa mbio zaidi ya race

Anonymous said...

Dada bigup za kutosha nimeupenda jinx ulivyodizain ndan. Hongera l got u.

Anonymous said...

Umetisha sana Dj mdomdo tu utamaliza mjengo wako

Anonymous said...

Sio kila kinachoonekana ni kweli