Thursday 27 January 2011

ELISE NEAL NA RICK ROSS NIWAPENZI?

Tetesi zilizoenea masikioni mwa wadau wa music kuwa Rapper wa Miami na Muigizaji maarufu Elise Neal wanamahusiano.
hata hivyo vyombo vya habari vinataka kuandaa kipindi maalumu cha kuwahoji 'dates' hao
MIAMI RAPPER na ELISE NEAL

No comments: