Tuesday 4 June 2013

Maelfu wajitokeza kupokea maiti ya Ngwea

Tayari mwili wa ndugu yetu Albert Mangweha umefika Dar, now tunaupeleka hospitali ya taifa Muhimbili...

Kwa sasa kinacho endelea barabarani ni wananchi wamezuia gari lililobeba mwili wa Albert Mangweha na wakiamuru jeneza lishushwe walibebe wao...
Watu ni wengi, wengi, wengi sana… 
Team Kibongobongo tulikuwepo hapa Uwanja wa ndege wa Kimataifa ''Julius Nyerere International Airport'' na tutaendelea kuwafahamisha kila kinachoendelea hiyo kesho kwa kumuaga ndugu yetu Albert Mangweha, hapo Leaders Club- Kinondoni...
R.I.P. Albert Mangweha!...

No comments: