Tuesday 3 September 2013

Audio:"Odemba"-Y-Jay na Mr. Red

Ni kundi la muziki kutoka nyanda za juu kusini Njombe-Makete ambalo lina wasanii wawili Y-JAY MAY RED, wana jumla ya nyimbo kama 12 ila hii ni moja wapo ya kazi yao, na kwasasa wapo katika hatua za kukamilisha video ya wimbo huu mapema mwezi Desemba.
Wakali hao wanafanya kazi tofautitofauti ili kuleta radha tofauti, kwa sasa hawana Meneja wa kusimamia kazi zao, hivyo basi wanaimani wangefanikiwa kupata meneja wangefanya vizuri zaidi na kuweza kutambulika ndani na nje ya Tanzania.

Wimbo wao ni huu hapa waweza kuusikiliza na kuudownload:

No comments: