Monday 13 October 2014

Picha:Mwanafunzi aliyejichoma kisu kisa mapenzi

Mwanafunzi wa chuo cha Uhasibu (TIA) - Singida "Jina halikuweza kufahamika kwa haraka", aliyedaiwa kujiua kwa kujichoma kisu tumboni kwa ajili ya mapenzi...Kwa mujibu wa mdau aliyetufikishia habari hii juzi asubuhi (tarehe 11) amedai kuwa binti huyo mwenye umri kati ya 21-25 aliamua kujichoma kisu baada ya kugundua kuwa kijana aliyekuwa anamahusiano naye ya kimapenzi anatembea na msichana mwingine.
(Tunaomba radhi kwa picha hizi)

No comments: