Monday 13 October 2014

R.I.P Kamanda Birane Wane

Wasenegal wameungana pamoja katika kutoa salamu za rambi rambi pamoja na kuuaga mwili wa mpiganaji wa Jeshi la nchi hiyo, Srgt. Birane Wane, alieuawa mjini Kidal, nchini Mali, tarehe 7 oktoba mwaka huu baada ya kushambuliwa na waasi wa nchi hiyo...
Mwanajeshi huyo wa Senegal wa kikosi cha Umoja wa Mataifa, ameagwa rasmi na Wasenegali hao wakiongozwa na waziri wa Ulinzi wa Senegal Augustn Tine na mwenzie wa Mali, Major Ba N’Dao...
Hafla hiyo fupi ilifanyika Wizara ya Ulinzi mjini Dakar na kushuhudiwa pia na ndugu na jamaa wa Marehemu askari huyo...
R.I.P. Kamanda!...

No comments: