Monday 7 July 2014

New Videoz from Diamond Platnumz


Diamond-Mdogomdogo
 Diamond ft Iyanya - Bum Bum
Diamond amesema ameachia video za nyimbo hizi mpya ikiwa ni zawadi kwenu wapenzi na washabiki wa muziki wake kwa kuwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa mama yake mzazi, hivyo basi ameamua kuwapa zawadi mashabiki wake...pata muda wa kuzitazama video hizi kwani ni nzuri sana zikiwa kwenye ubora wa picha na kiwango cha juu kudhihirisha kuwa kijana ameshapiga hatua kwa kazi anayoifanya.

No comments: