Monday 7 July 2014

Picha ya leo

Kwa mujibu wa chanzo chetu kuhusu hii picha anasema anakumbuka ilikuwa ni siku ya wapendanao miaka ya 1960's... wakaamua kwenda ufukweni kupata kipupwe, (ufukwe wa enzi hizo ni kwenda mtoni kuchapa maji).

No comments: