Tuesday 2 July 2013

Obama na JK wakionesha ufundi wa soccer

Picha hizi ni leo majira ya mchana baada ya Rais kikwete kuwa na Mazungumzo na Mgeni wake Rais wa Marekani (Barack Obama) Ikulu ya Dar es salaam kabla ya kwenda kumalizia ziara yake na kuitimisha kwenye mitambo ya umeme ya SONGAS iliyopo maeneo ya Ubungo......!!
Baada ya Ukaguzi wa mitambo waheshimiwa hao waliamua kujifurahisha kwa kucheza soka. Mh. Obama alipiga danadana kadhaa uku mwenyeji wake JK akiwa pembezoni mwake na kuangalia kinachoendelea

Obama akigonga danadana za kichwa

No comments: