Tuesday 2 July 2013

Hatimaye Lulu afanya interview kwa mara ya kwanza

Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael maarufu sana kama ''Lulu'' amefanya interview yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takriban mwaka mmoja na nusu toka kifo cha msanii mwenzake, Steven Kanumba kutokea April 2012...

Katika kipindi hicho cha TAKE ONE kinachorushwa na Clouds Tv, Lulu ameongelea yaliyotokea usiku huo wa tarehe 7 April 2012 kati yake na marehemu Kanumba, ameongelea pia mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo mengine mengi......

No comments: