Wednesday 8 May 2013

Mbongo aishie Ulaya atangaza kugombea ubunge TZ 2015

Mtanzania, Mange Kimambi, akiwa beach na mume wake pamoja na mtoto wake...


Dada yetu huyo, amechukua nafasi hiyo kutangaza rasmi nia ya kugombea ubunge mwaka 2015 kwa ticket ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Aliandika kwenye Instagram yakuwa anapendelea kugombea Ubunge jimbo la Dar, ila anawaomba wananchi wamchagulie jimbo gani?...
Ameandika hivi, kwenye ukurasa wake wa Instagram, hapa tunamkariri: ''nichagulieni jimbo la kishua ambalo mpinzani wangu akitaka kutumia hizi picha kuniumiza wananchi wamwambie
hawadanganyikiiii, wamechoka kuongozwa na vitambia wanataka wanawake wenye kisomo na exposure...''


Haya sasa, kazi kwako Mtanzania mwenzetu, unamchagulia jimbo gani huyu ''Mbunge mtarajiwa''???...

No comments: