Wednesday 8 May 2013

SKYPE wametoa nafasi ya kumuombea Lady Gaga kwa style yake

Kupitia mtandao wa kijamii uitwao SKYPE wametoa nafasi kwa mashabiki na wapenzi wa msanii Lady Gaga kutuma picha au mchoro wa picha kama ishara ya kumtakia afya njema msanii huyo ambae anaumwa kwa sasa.

No comments: