Monday 14 May 2012

O-TEN ALEWA NA KUTAKA KUKOJOA MBELE ZA WATU

Msanii aliyetamba miaka ya 2000's Philipo Nyandindi almaarufu kama O-Ten, juzi jumapili mishale ya saa sita mchana maeneo flani mjini Morogoro jamaa alionekana akitupia vyombo (pombe) huku akigonga mneli, alishangaza wadau waliokuwa maeneo hayo kwa kulewa kiasi ambacho alipoteza fahamu na kutaka kujisaidia haja ndogo(mkojo) mbele ya umati wa watu.
Hapa akiwa bado hajalewa
hapa akitupia fegi
Kama kawaida ya pombe mtu mzima chali.
Hapa akimpiga mkwara mpiga picha wa Chuma blog
Hapa akianza fungua zipu na kuanza kukojoa
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA
CHUMA BLOG

No comments: