Thursday 10 May 2012

Kweli kuzaliwa mjini...first year!!

HII NDIO STYLE WAITUMIAYO WAJANJA 
WA JIJI KUWAKOMESHA WATOZA USHURU 
WA MAEGESHOYA MAGARI
Hapa jamaa akifungia gari lake kwa umakini ili
asisumbuliwe na wale jamaa wa kutulipisha ushuru
 Kama kawa anaendelea kutupia mnyololo na kufuli

 Hapa kashamaliza, na kashasepa muuuuuda...
kasheshe kwa wagambo wasumbufu sasa
PICHA KWA HISANI YA FAN KUTOKA FB
(Innocent Kilonga) shukrani kaka

No comments: