Thursday, 10 November 2011

DODOMA STAND UP AGAIN!!

Wale wakali wa burudani hapa nawazungumzia Str8Muzik Festival,
Wanakuletea The Inter-College Special ndani ya mkoa wa Dodoma 
Jumamosi ya tarehe12 Nov, kuanzia saa 1 jioni ndani ya Royal Village.
Watakaopamba jukwaa ni: Namelees na P-Unit kutoka Kenya
kutoka Tanzania ni Diamond, Juma Nature, Jay Moe,
Mr. Blue na Barnabas.
Ticket: 3000Tshs. per head.

No comments: