Wednesday, 9 November 2011

MSANII LAZIMA AVAE MIWANI??

 
Sijajua inakuwaje kuhusiana na hili, takribani wasanii wote yaan wawe wa kuimba, wakuchekesha na hata wale wanaoigiza movie...wote lazima uwakute wamevaa miwani. Sasa nashindwa kujua ni wanaficha sura zao sababu ni maarufu, au wanakwepa jua, au wanavuta sana bange kiasi cha kwamba watagundulika, au ndio moja ya sheria za kisanii au kistar...

Kutoka kushoto: Mr. Blue(Byser),mchizi sijamsoma, Shetta na Diamond

No comments: