Sunday 23 October 2011

KWELI MCHEZA KWAO UTUNZWA

Hatimae Mabingwa wa Uingeleza Man United leo wachapwa 
goli 6 - 1 na Man City ndani ya dimba la Old Traford
 Mario Balotelii akishangilia goli la kwanza baada ya dakika 15, 
aliloifungia timu yake ya Man city dhidi ya Man United.

No comments: