Saturday 24 March 2012

JE MNAUKUMBUKA MSIBA HUU?

Wafuatiliaji na wapenzi wa burudani mtakuwa mmenielewa 
au kukumbuka hili tukio lililotokea mwishoni mwa 
mwaka 2009(Nov. 8, 2009),ambapo club maarufu 
jiji Dar es salaa New Maisha Club 
kuteketea kwa moto. Club hiyo iliteketea yote na kuteketeza
 mali zaidi ya milioni 70. Kwa mujibu wa habari kuhusu chanzo
 cha moto huo ni umeme, uliosababishwa na AC.
Hata hivyo haikuwa mwisho wa burudani 
kwani muda si mrefu wakajenga mpya na kuendeleza burudani
kwa wapenzi wake.
sehemu ya kaunta iliteketea yote
 Mmiliki wa club hiyo Mama Hellen Sweya
 
Hapa mama Sweya akitoka kutazama moto kwa ndani
Mama Sweya pamoja na jamaa zake wakijadiri kitu
 Jamaa wa kikosi cha zima moto wakijaribu kuzima moto huo

No comments: