Saturday 12 February 2011

HIVI NI KWELI JAY Z NDIO KAMBIKIRI BEYONCE?

We all know that Beyonce has always been the type to keep her private life private. In a recent interview the diva stated that she in fact only ever had two boyfriends her whole life. Now if that wasn't enough, B also made it known that she did NOT have sex with her first boyfriend. So I guess its safe to say Bey is claiming to lose her virginity to her now husband Jay Z.
Am I the only one that doesn't believe this? Don't get me wrong, Beyonce is super talented and a role model to some but I honestly can't wrap my mind around the fact that Jay Z was her first! What do you guys think?
 kwa wasio elewa ngeli
Tunajua yakwamba Beyonce ni mwanadada msiri sana kwa habari zinazomuhusu hasa kuhusu maisha yake. Lakini alitoa wazi kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi. Amesema amewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wawili tu maishani mwake kote, Lakini kwa mwanaume wake wa kwanza hakuwahi fanyanae mapenzi sababu walikuwa katika umri mdogo. Hivyo basi tetesi zinabaini kuwa Mnyamwezi Jay- Z ndio aliyemtoa bikra Mwanadada huyo.
mimi binafsi siamani but sjui wewe.
BAADHI YA PICHA ZA MATUKIO YA BEYONCE NA JAY-Z

No comments: