Monday, 7 March 2011

MARLOW AMUOA BESTA

Baada ya mahusiano yaliyodumu takriban miaka minne sasa msanii wa bongo fleva "Marlow" anatarajia kufunga ndoa na msanii mwenzake "Besta". Alhamis ya tarehe 3 ilikuwa Kitchen party ya mwanadada Besta na Jumamosi ya tarehe 5 ilikuwa Sendoff ya mwanadada Besta..
 Marlow na Besta

No comments: