Sunday 6 February 2011

SHY-ROZE NA JAFARRAH WAPIGANA CHINI

Juzi kwenye kipindi kinachorushwa live na clouds fm "XXL" alisikika mtu mzima Jaffarahi msanii mkongwe wa bongofreva kuwa ameamua kupigana chini na mpenzi wake Shy-Rose Bhanj aliyekuwa nae kwa kipindi kirefu takribani miaka 8.
Mtu mzima alifunguka na kueleza kisa chote cha yeye kuachana na Shy-Rose. Alisema kisa ni Mr. II aka Sugu kutembea na Shy-Rose. Jafarrahi alisema anauhakika na kile asemacho sababu alimpigia simu Sugu baada ya kukuta message zake kwenye simu ya Shy, na Sugu alikubali kuwa ametembea na Shy ila ni kwa bahati mbaya.
Hivyo basi Jaffarahi amesema uamuzi aliochukua ni sahihi na si wa kumtishia Shy-Rose.
 Shy-Rose na Jaffarahi enzi za penzi lao
Shy-Rose na Sugu

No comments: