Wednesday, 14 November 2012

movie ya skyfall 007 yavunja record

Tangu itoke filamu hii mpya ya James Bond inayofahamika kwa jina la SKYFALL 007 na kuoneshwa kwenye majumba mbalimbali ya sinema duniani kote, imeingiza zaidi ya dollar za kimarekani million 500 ni sawa na Billion 800 za kitanzania. Tasmini hizi ni kwa mujibu wa jarida la Forbes.

Hivyo basi kwa tasmini hizi imetabiriwa yaweza kuwa ndio movie itakayovunja record kati ya movie zote za James Bond zilizopita na pia itaingia kwenye record ya movie bora zinazoshikilia soko la movie dunian kote.

No comments: