Friday 15 August 2014

Upcoming artist Spacio"Prince wa masauti"

Pata nafasi ya kumsikiliza kijana anayekuja vizuri sana kwenye muziki wa bongo fleva...Anaitwa Spacio a.k.a Prince wa masauti. Hizi ni baadhi ya nyimbo zake mbili ambazo zinafanya vizuri na ziko vizuri.

No comments: