Monday 18 August 2014

Kevin Hart amvisha pete Eniko Parrish

Kevin Hart amesema ni muda mrefu sasa umepita tangu aachane na mtalaka wake Torrei Hart, na hakuweza kufikiria kuoa kabisa...lakini amesema kwa sasa ameamua kumvisha pete mchumba wake "Eniko Parrish anayeamini kuwa wanapendana kwa dhati. Hart ameamua kulifanya jambo hilo mapema sana kwani anamatarajio ya kufunga nae ndoa mwishoni mwa mwaka huu.

No comments: