Thursday 13 March 2014

Video:"Adebayor akicheza Aye wimbo mpya wa Davido

Baada ya kujifunza style ya Skelewu, sasa Emmanuel Adebayor aamua kujua na style mpya ya Aye ambao ni wimbo mpya wa Davido... tukio hilo limetokea huko nchini Ghana nyumbani kwa mkali huyo wa soka, Emmanuel Adebayor.

ITAZAME HAPA VIDEO

No comments: