Monday 3 February 2014

Uliicheck zawadi ya P Diddy aliyompa bibie Cassie

Hii kidogo ilizua gumzo kwa wadau na wapenzi wa mwanamuziki huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 44, Puff Daddy au muite P-Diddy baada ya kupost kupitia instagram picha ya pete na kuandika maneno matamu yenyewe kudhihiridha kuwa hiyo ni zawadi kwa mtu special..."Baby do you like it? I just want to get you wat you Like! I just wanna Mk you smile:)#takeDat!"...alipost ujumbe huo wenye kuisupport picha hiyo. Kwa wadau wanaofuatilia lifestyle ya mshkaji, wamedai kuwa hiyo ni zawadi maalumu kwa kipenzi cha P-Diddy, Cassie. Pia masaa machache Keyshia Cole alipost picha ya Cassie akiwa amevaa pete hiyo.
#takeDat. !' [sic]Later Keysha Cole posted a photo of Cassie wearing the ring inthe photo indicating she said yes. However Mailonline claims Pdiddy's rep denied the news of their engagement Hope it's not a publicity stunt - See more at: http://www.jointsarena.com/2014/02/pdiddy-proposes-27-year-old-cassie-on.html#sthash.koroUt1Z.dpuf

No comments: