Sunday 2 February 2014

Stone Cold Steve Austin na Miley Cyrus wampa neno Justin Bieber

Mpiganaji mieleka wa miaka ya zamani kidogo, Stone Cold Steve Austin na mwanamuziki wa karne hii Miley Cyrus wameamua kumfungukia dogo Justin Bieber kuhusiana na kuswekwa lumande mwishoni wa wiki iliyopita na kutengeneza story ambazo zinaonesha ni kumshusha na kumchafua dogo Bieber...

MSIKILIZE STONE COLD HAPA


MSIKILIZE MILEY CYRUS HAPA

No comments: