Sunday 2 February 2014

Album Cover ya MasterMind ya Rick Ross

Hii ndiyo Cover ya Album mpya ya mtu mzima Rick Rozee inayotarajiwa kuachiwa mnamo tarehe 4, March. Rick Ross amesema amefanya hivyo ilikuwaweka mkao wa kula mashabiki wake kwa kusikiliza ladha zilizomo kwenye album hiyo yake hiyo ya 6. Pia amesema wimbo wa MasterMind ambao ndio unabeba album hiyo atauachia 11 February 2014.

No comments: