Monday 10 February 2014

Rihana na Drake waonekana wakiwa pamoja batani

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii "MTV" kimesema kuwa usiku wa jana wakali hao walinaswa wakiwa wanatoka kwenye club ya Hollywood NightClub wakiwa pamoja na kurepotiwa kuwa wawili hao walikuwa wakila shushu pamoja ndani ya club hiyo.... Swali ni, wawili hao wanamahusiano kwa sasa??. Ngoja tusubiri muda utatuambia...

No comments: