Sunday 9 February 2014

Huddahmonrose kama kawaida yake

Hii imekuwa ni kama kawada kwa mrembo huyu wa huko nchini Kenya "Huddahmonrose" kutupia picha zake za nusu utupu kwenye mitandao ya kijamii...leo kupitia Instagram mrembo huyo ameweka picha inayoonesha makalio na kuambatanisha na ujumbe ambao unadhatiti kujikubali kwa kile alichonacho!! "they always seem to come back"...amepost status yenye ujumbe huo mwanadadashostito huyo ambaye awali alishawahi kuwa kichuna wa msanii maarufu nchini Kenya "CMB Prezzo", na wiki kadhaa ameahidi kuhakikisha anarudiananae kwakuwa ni mmowa wa wanaume wake watamu na wanaojua mapenzi hajawahi ona.

No comments: