Monday 6 January 2014

Mama aliyejeruhiwa na mbwa na kuwa kipofu apona baada ya operations 100

Mama huyu aliyesadikika kujeruhiwa na mbwa aliyekuwa akimfuga mwenyewe nyumbani kwake, alijeruhiwa sehemu ya usoni na kuwa kipofu kwa muda mrefu hatimaye amepona baada ya matibabu 100 aliyofanya na kushindikana kurudisha sura yake katika hali ya kawaida.

Mama huyo aliyefahamika kwa jina la Wendy Hamriding ambaye anaishi na mjukuu wake, alimgharimu mjukuu wake kuacha muda wake wa kazi na kusimamisha shughuli zake za kumuingizia kipato na kuangaika kumpeleka kwenye vituo mbalimbali vya afya vikiwemo hospital kubwa za nchi mbali mbali ili kumfanya matibabu na kuweza kumrudisha mama huyo kwenye hali yake ya awali. Hata hivyo juhudi izo zilishindikana kwa takribani ya upasuaji (operations) 100 na ndipo kubahatika kuweza kupona kwa kipindi hiki na kuweza kuiweka sura katika hali hauweni baada ya wataalamu wengine wanaohusika na masuala ya upasuaji kuweza kurudisha ndoto za mama huyo.

Alisema mama huyo ni kheri kuwa kipofu kuliko kufa...‘Before this happened, I was drunk from the moment I woke up,’ she added. ‘I knew alcohol was killing me, but I could not stop drinking. ‘I lost my eye and I lost my dog, but it was the best thing that could have happened. ‘I was in hospital for three months and they reckoned if she’d done it on the left hand side, where my brain is, I wouldn’t have survived. ‘They had to rebuild a lot – the palate was taken out of my mouth to rebuild my eye socket.’

No comments: