Friday 11 October 2013

Flaviana Matata VS Michele Obama

Ni moja ya picha iliyowavutia wengi hususani wabongo kwa kuona Flaviana Matata amevaa sare na kivazi cha mke wa rais wa Marekani, bibie Michelle Obama...hatukuweza kufahamu kwamba nani ameiga "copy" style ya mwenzie.

No comments: