Wednesday 11 September 2013

H-Baba apata mtoto wa kike

Kwa habari ambazo ni za kheri hasa kwa maisha ya vijana wasasa hususani kwa wasanii ni kwamba msanii  wa muda kidogo aliyewika na baadhi ya vibao vyake kama "MPENZI BUBU", "POTEZA POTEZA", H.BABA amepata mtoto wa kike na amempa jina la#Tanzanite mtoto huyu amezaliwa katika hospital ya #MariaStope iliyopo maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam

HONGERA SANA KAKA H-BABA

No comments: