Thursday 22 August 2013

2 Chain na wenzie 10 wakamatwa na polisi

Msanii anayesumbua kwenye game ya muziki wa Hip Hop kutoka nchini Marekani, 2 Chain amedakwa na polisi wa jiji la Oklahoma akiwa na wenzake 10 baada ya kushtukiwa wakiwa wanatumia madawa ya kulevya. Jamaa hao walishtukiwa wakiwa kwenye basi ndipo polisi waliliamuru basi hilo lenye abiria wapatao 40 wasimame, baada ya kusimama kwa basi hilo dereva akashuka na kulock milango na kuanza kusachiwa ndipo 2 Chain na wenzake 10 wakadakwa na kupelekwa sero.

video ikiwaonesha 2 Chain na jamaa zake 

10 wakipandishwa kalandinga

No comments: