Tuesday 23 July 2013

Wiz Khalifa aja na converse zake

Kama umekuwa mfuatiliaji wa huyu jamaa amabye ni mume wa mwanamitindo Amber Rose, Wiz Khalifa au baba Sebastian, mara zote huwa anatupia converse shoes awe kwenye stage/show au hata kitaani tu lazima atupie converse. Kudhihirisha kuwa anazimia sana pigo za converse, Wiz ameamua kuja na Converse zake zenye jina lake, na amesema ameshaingia mkataba na moja ya kampuni zinazohusika na kutengeneza converse na zitakuwa mtaani mwezi August.

No comments: