Monday 22 July 2013

Video: "Tanzania Top Model - Jay Metty


Hii ni ngoma mpya kabisa ya mdau wa blog hii anayeishi kiwanja, ametutumia ili mpate kuidownload na kuisikiliza....ni kichupa hatari sana!!

Jamaa ni mgeni kabisa kwenye hii game ya muziki, hivyo anaomba support yenu kuweza kumuelewa ili azidi kuwapa vitu alivyonavyo...

Ngoma inaitwa: Tanzania Top Model
Artist: Jay Metty
Produced by: Pro. Man B

No comments: