Sunday 21 July 2013

Prince Muro zagonga zenyewe

Jana majira ya jioni #TeamKibongobongo tulipokea taarifa kutoka kwa mdau wa blog yetu kuwa kuna ajali mbaya ya basi aina ya Prince Muro imetokea muda huu (ilikuwa majira ya saa 12 jioni) lililokuwa likielekea Mkoani Mbeya kugongana na basi lingine la kampuni hiyo hiyo ya Prince Muro lililokuwa likielekea Tunduma na kusababisha majeruhi kadhaa waliokuwemo kwenye basi hilo la Mbeya lililogonga basi la Tunduma.

Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Nyololo katika kijiji cha Kinegembasi, mkoani Iringa, kwa mujibu wa mdau huyo aliyetutumia habari hiyo alitueleza kwa kina japo alichelewa kwa masaa kazaa kutupa habari kamili baada ya kututumia picha tu ya ajali hiyo, alifunguka kama ifuatavyo:

No comments: