Monday 22 July 2013

The Islamic Foundation yatoa matibabu ya bure Mwanza vijijini

Leo The Islamic Foundation walijumuika na kutoa msaada wa  matibabu ya bure huku Mwanza vijiiini. Dr Ally Akrabi ndio alikuwa kiongozi wa madaktari hao katika utoaji matibabu kwa wakazi wa eneo hilo.
 Dr. Ally Akrabi
Dr. Ally Akrabi akihojiwa na TV Iman
 Timu ya madaktari

No comments: