Sunday 21 July 2013

Picha za mke wa Mabeste alivyopata mtoto

Mabeste akiwa na mkewe Lisa
 Mke wa Mabeste baada ya kujifungua
Kendrick, Mtoto wa Mabeste
Ijumaa ya wiki hii, TeamKibongobongo tulipokea taarifa za kheri baada ya msanii mkali wa bongo fleva kubahatika kupata mtoto wa kiume na kumpa jina la Rapa maarufu nchini Marekani, Kendric Lamar....

Mabeste amesema hajampa mtoto wake jina hilo kwa kuwa anampenda rapa huyo "Kendric" lah! ila yeye huwa anawapa majina watoto zake kulingana na maana halisi za majina hayo, kwa mfano mtoto wake wa kwanza alimpa jina la Kelly si kwamba anampenda msanii Kelly Rowland wa marekani bali ali'google kujua maana yake ndipo akampatia jina hilo mtoto wake wa kike. Na ndivyo hivyo hivyo alivyofanya kwa mwanae huyu "Kendric.

No comments: