Sunday 21 July 2013

Muonekano mpya wa Ray C

Huu ndio muonekano mpya wa mwanadada Rehema Chalamila maarufu ka Ray C baada ya kupona kilialichodaiwa kuwa aliathirika na matumizi ya madawa ya nkulevya....

Kama tunakumbuka mwishoni mwa mwaka jana iliripotiwa kuwa mwanadada huyo aliokolewa na Mh. Rais Jakaya Kikwete baada ya kuwa ameathiriwa vibaya na madawa ya kulevya. Na hii ndiyo taswira yake mpya ya sasa baada ya kuacha utumiaji uo wa madawa ya kulevywa kama ilivyoripotiwa awali.

No comments: