Tuesday 16 July 2013

Kichupa: Sina Imani - Shetta ft Rich Mavocco

 
Kichupa cha wimbo wa Shettah ambao wengi wanauita usilete ukimwi nyumbani ila jina lake halisi ni "Sina Imani" imekamilika, kutoka kwa producer Adam Juma wa Next Level (kabla hajaamua kuacha kutengeneza video za mziki)
Kitazame hapa

2 comments:

Unknown said...

kitu imetulia

Unknown said...

No comentgs c's kila kitu kipo poa!