Thursday 18 July 2013

Audio: "Chinja Chinja" - ZeeTown Sojaz ft Fredrigo

Ni vijana kutoka Zanzibar, pia ni wasanii pekee wanaofanya muziki wa Hip Hop kutoka Zanzibar.....kwani tumekuwa tukizoea kuona baadhi ya wakali wa Zanzibar wanafanya muziki wenye vionjo vya mduara kama wanavyofanya kina AT, OffSide Trick na wakali wengine kutoka Zanzibar.

Hii ndio ngoma yao "Chinja Chinja" waliyofanya wakali hao iliyotayarishwa na Producer Aloneym katika studio za Jupiter Records. Hapa wamemshirikisha mkali mwengine Fredrigo....

Unaweza kuisikiliza na kuidownload pia...

No comments: