Monday 21 January 2013

ukuta wa stand ya mabasi ubungo ilivyoharibu magari

Hili ni tukio nililokutana nalo asubuhi ya leo baada ya kukuta watu wakilia na baadhi wakistaajabu kwa tukio la kushangaza... hii ilisababishwa na kuanguka kwa ukuta wa stand ya mabasi ubungo. Sababu za kuanguka kwa ukuta huo sijazijua hadi natoka eneo la tukio

No comments: