Tuesday 29 January 2013

New video by Belle 9 - Listen

Sorry wadau wa kibongobongo blog kwa kuwacheleweshea hii ngoma japokuwa niliwaahid kuwa ntaiweka pale ntakapo tumiwa, kiukweli mtu mzima Belle 9 alinitumia mapema sana hii video sema kutoka na sababu zilizo nje ya uwezo wangu nikashindwa kuiweka mapema.
Ngoma inaitwa Listen, imefanywa na Nisher, Location ya hii ngoma ni Moshi, Arusha na baadhi ya sehem kusini mwa Kenya

No comments: