Saturday 17 November 2012

ay anyakua tuzo za channel o

Msanii wa bongo fleva Ambwene Yesaya almaarufu kama AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha Sauti Sol kutoka Nairobi Kenya .
PONGEZI KWA MTU MZIMA AY KWA KUITANGAZA VYEMA TANZANIA

No comments: