Friday 17 August 2012

van persie ndio habari ya dunia

Robin Van Persie akisign mkataba wa kuichezea man u
baada ya fununu na mgogoro ulioendelea takriban mwezi mzima baada ya lile jembe la club ya Arsenal ,Robin Van Persie kwa tetesi za kuamia Man U sasa wafikia tamati baada ya jembe hilo kutua Man U kwa mkataba wa miaka minne. Ni furaha kwa washabiki na wapenzi wa timu ya Man U kwani wameongeza majembe pia wameiweka timu yao pinzani (Arsenal) katika wakati mgumu japo kocha wa club hiyo Arsene Wenger amesema bado timu itakuwa imara japo wamempoteza streika huyo.
 RVP akiwa na kocha wake mpya(Sir Alex Furgerson)
 RVP na kocha wake wa zamani, Arsene Wenger
RVP akiwa mazoizini baada ya kutua Man U

No comments: